msaada mwanangu awe na mwili

msaada mwanangu awe na mwili

wa kiume,mwaka na miezi 3...kula utata..ana kilo kumi

kama kweli ana kilo kumi mbona amepita hata kilo anazotakiwa kuwa nazo kutokana na umri wake kwasababu mtoto wa miezi mitatu anatakiwa kuwa na kilo kuanzia 6 hadi 7 asishuke hapo...kwa hiyo mimi naona anakua vizuri ila nahisi huo atakuwa mtoto wako wa kwanza maana wamama wapya ufikiri unene wa mtoto ndio afya wakati sio kweli...na wengine hufikia kumlazimisha mtoto kula kwa nguvu ili afikie "unene" autakao mama..

Cha msingi hakikisha anakula vizuri na kama anasumbua kula angalia labda position unayompea chakula (kumnyonyesha) haipendi na hivyo kumkera ila hapa sijaona tatizo bali hofu yako tu
 
jamani nimpe nn mwanangu ili awe mnene?????mpaka najihisi am a failure mom...plz msaada

Tumia asali ya tende " Dates Syrup ". Awe anakula vijiko viwili vya chakula vya asali ya tende mara mbili kwa siku kwa muda wa siku thelathini . Atakuwa na mwili sana. JINSI INAVYO FANYA KAZI. Asali ya tende inamfanya mtu awe na appetite ya kula isiyo isha. Akitumia itamfanya awe anakula kula sana na mwisho wa siku atakuwa na mwili mkubwa. Kama utakosa asali ya tende unaweza kutengeneza mwenyewe kwa kutumia tende. JINSI YA KUTENGENEZA ASALI YA TENDE: Chukua tende nusu kilo, weka kwenye sufuria kisha ongeza maji lita mbili, halafu iache kwa usiku mzima, ikifika asubuhi koroga mchanganyiko wako, ondoa mbegu zake, na inayo baki inakuwa tayari asali inayo faa kwa matumizi ya binadamu.
 
wa kiume,mwaka na miezi 3...kula utata..ana kilo kumi

kama kweli ana kilo kumi mbona amepita hata kilo anazotakiwa kuwa nazo kutokana na umri wake kwasababu mtoto wa miezi mitatu anatakiwa kuwa na kilo kuanzia 6 hadi 7 asishuke hapo...kwa hiyo mimi naona anakua vizuri ila nahisi huo atakuwa mtoto wako wa kwanza maana wamama wapya ufikiri unene wa mtoto ndio afya wakati sio kweli...na wengine hufikia kumlazimisha mtoto kula kwa nguvu ili afikie "unene" autakao mama..

Cha msingi hakikisha anakula vizuri na kama anasumbua kula angalia labda position unayompea chakula (kumnyonyesha) haipendi na hivyo kumkera ila hapa sijaona tatizo bali hofu yako tu
La Cosa Mia rudi tena mkuu ulimsoma vibaya muuliza swali, rudi tena na mimi nifaidike tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
asante nitafanya hvo kuanzia kesho

'pole asee hata ADAM wng alikuwa ivyo ivyo ila baada ya kuacha ziwa tu ikawa anakula uzuri kabisa inaeza kuwa inachangia ivyo usjali coz kula sio kunenepa mbona wengine wananenepeshwa na wachina na wanafutuka kweli kweli umesaha kuwa sometime unene ni asili asee,,usjali'
 
asante nitafanya hvo kuanzia kesho

'pole asee hata ADAM wng alikuwa ivyo ivyo ila baada ya kuacha ziwa tu ikawa anakula uzuri kabisa inaeza kuwa inachangia ivyo usjali coz kula sio kunenepa mbona wengine wananenepeshwa na wachina na wanafutuka kweli kweli umesaha kuwa sometime unene ni asili asee,,usjali ila jali'
 
Back
Top Bottom