Msaada: Mwanangu hapati maziwa ya kutosha kutoka kwa mama yake

Mimi niliacha kunyonya mwenyewe nikiwa na miezi mitatu tu (hii ni kulingana na maza amenambia) na nina akili sana tena sana. Muhimu zingatia chakula kwa mke mambo mengine yatajiseti usiwaze sana mkuu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
ahsante kaka kiukweli now imebidi nikubaliane tu na hali ilivyo.
 
Mnunulie mkeo mchanganyo wa mbegu za maboga zinapatkina supermarkets nyingi tu hiyo ni kiboko maziwa yatakuja tu lkn kama lactogen vikishindikana mpe mtt maziwa ya ngombe pekee...uji haumfai bado ni mdogo sana.
 
Back
Top Bottom