Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo mengine huwa ni urithi kwa baba au mama sasa kama wote hamna huenda sio mwanao ila Lea tu,waweza yaacha yakikua na yeye akasogea yanaweza toka ktk umri wa watoto kung'oka meno,au waweza mng'oa Hosp. Yakaota mapyaHabar wanajamvi naomba msaada wenu mwanangu kaanza kuota meno alianza kuota ya chini lakin sasa yanaota ya juu ila sio kama kawaida yaan yameota meno chonge naomba msaada wenu wa mawazo ushauri ahsante![]()
![]()
Habar wanajamvi naomba msaada wenu mwanangu kaanza kuota meno alianza kuota ya chini lakin sasa yanaota ya juu ila sio kama kawaida yaan yameota meno chonge naomba msaada wenu wa mawazo ushauri ahsante![]()
![]()