Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpunguze nguo abaki na nappyHabari wataalam na wazazi mliomo humu, binti yangu wa mwaka mmoja kachemka ghafla jioni hii.Niko remote area hakuna hata hispital..nifanye ili kump huduma ya kwanza?
hey sky nashindwa kuku dmMpunguze nguo abaki na nappy
Mpanguse na kitamabaa cha maji ya baridi
Mpe calpol au paracetamol ya watoto