MSAADA:Mwanangu kachemka ghafla

MSAADA:Mwanangu kachemka ghafla

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Habari wataalam na wazazi mliomo humu, binti yangu wa mwaka mmoja kachemka ghafla jioni hii.Niko remote area hakuna hata hispital..nifanye ili kump huduma ya kwanza?
 
Back
Top Bottom