chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Vilainishi vimepigwa marufuku bwana.hapo tatizo ni mdogo wako kushindwa kucheza na beat na inawezekana ni tatizo la ukavu wa uke wake, delayed ejaculation mara nyingi inasababishwa na ke kutokuwa tayari kisaikolojia na kutoona umuhimu wa hilo tendo na hii inaathiri 20% of teenage girls wa kuanzia miaka 18-25
huyo jamaa hana tatizo ndio maana yupo kwenye ndoa yake na mtoto anaye,solution ni kumwambia mdogo wako yeye ndio pilot wa gemu so inabidi acheze kila angle na mautundu yote ili amfanye jamaa apiss bao nyingi...pia watumie vilainishi.
Huyo jamaa anatatizo ambalo huathiri takribani asilimia 4 ya wanaume duniani. Ni ejaculatory disorder na ya huyo jamaa inaitwa delayed ejaculation endapo huyo mtu anawezakufikia kumwaga baada ya muda mrefu au retarded ejaculation endapo hawezi kabisa kumwaga. Kama ni mume wa mtu na ana watoto basi anaweza kupiga bao. Tatizo hilo hutokea ktk umri mkubwa kwa baadhi ya watu na wengine hulitengeneza wenyewe wakijua au kwa bahati mbaya.
View attachment 374597 natibu tatizo la nguvu za kiume kwa matunda tu bila kemikali yoyote.natoa formula ya kuandaa mchanganyiko wa matunda ukiwa nyumban kuna gharama ya formula hii ni elfu 20ilipwe ofisin chanika dsm na formula inatumwa kwa whats app hapohapi ofisini.matunda ni maj tikit nusu karot kadhaa ndizi kadhaa. 0712505049
Elfu 20 ni gharama za kukufuatilia tatizo lako kwa matatizo yanatofautiana kuna fomula tofaut kutokana na ukubwa wa tatizo na utofauti wake .
Dr wa mitishamba tiba asili..natibu nguvu za kiume kwa siku 5 tuu karibuni 0744069527
Toa ushaid wa watu waliopona ili tuamin ufanisi wa tiba yako kama mimi nilivyotibu ili tiba bora watu waiujue toa ushaid kama unao....Dr wa mitishamba tiba asili..natibu nguvu za kiume kwa siku 5 tuu karibuni 0744069527
Nyie vipi... Jukwaa la Matangazo lipo kule.Huku watu wanaelimishana kuhusu afya sio utapeli utapeli
Utapeli gani sasa mimi natuma formula kwanza ndio natumiwa pesa au utapeli wa kutapeliwa mimiNyie vipi... Jukwaa la Matangazo lipo kule.Huku watu wanaelimishana kuhusu afya sio utapeli utapeli
HA HA HAPO UMEUA MKUUAjaribu kumSuprice kwa game za ghafla huyo kuna vitu anatumia..atamshika 2
Mtaua watu jamani, panado na maji ya baridi zinahusikaje kwenye ejaculation issueshuyo jamaa kuna vitu anatumia kabla ya mchezo ya wezekana anameza panado za kenya na maji ya baridi kabla ya game au wazee wa amarula au ndo alivyo tu anywei ngoja waje wazoefu .....
HAPIGI BAO KWASABABU HATAKI UPATE MIMBAAjaribu kumSuprice kwa game za ghafla huyo kuna vitu anatumia..atamshika 2
Live huyo mtoa post aseme ukwel kuwa maswahiba yanamkumba yy asituongopee huwez zungmza na mdg wako mambo kama hayo na istoshe mwanamme mwenywe mme wa mtuSs km anadate na mdogo ww umejuaje km hapizi? umbea huo! au tyr na ww kishakupitia. ni hv kuna dawa inatoka Congo inaitwa puturu, I think ndo huwa anaitumia. mwanaume akiitumia hiyo anaweza kiisugua "K" hadi saa 1 na zaidi au asikojoe kabisa
Ungesema ni wewe unakitwa vilivyo ungepungukiwa nini?Jamani habari za humu ndani,
Nina mtu anadate na mdogo wangu, ila tangu walipoanza kudate huyo mwanaume hajawahi kupizi hata siku moja, na mzee anapachimba kwa mda wa lisaa au dakika 55 bad luck mwanaume ameoa.
Swali langu ni hivii, je hana mbegu au ana matatizo na amedate nae kwa mda wa mwaka sasa lakini duuh! Inahuzunisha na anadai mzigo haulali hata kama wamefanya kwa mda mrefu so huwa anavaaga tu boxer yake huku kitu mnara.
Naombeni mawazo yenu ili tujaribu kumshauri huyu shemeji angu coz hata yeye anashangaa.
Unamjua sana 'shemeji'Mkuu elewa kuwa kuna kuwahi na kuchelewa ila mwisho wa siku unakojoa,
Ila huyu hakojoi kabisa yale maziwa mazito.