Msaada: Mwanaume huyu hapigi bao

Msaada: Mwanaume huyu hapigi bao

hapo tatizo ni mdogo wako kushindwa kucheza na beat na inawezekana ni tatizo la ukavu wa uke wake, delayed ejaculation mara nyingi inasababishwa na ke kutokuwa tayari kisaikolojia na kutoona umuhimu wa hilo tendo na hii inaathiri 20% of teenage girls wa kuanzia miaka 18-25

huyo jamaa hana tatizo ndio maana yupo kwenye ndoa yake na mtoto anaye,solution ni kumwambia mdogo wako yeye ndio pilot wa gemu so inabidi acheze kila angle na mautundu yote ili amfanye jamaa apiss bao nyingi...pia watumie vilainishi.
 
Vilainishi vimepigwa marufuku bwana.
 
Mshauri aache kutembea na mume wa mtu
 
Huyo jamaa anatatizo ambalo huathiri takribani asilimia 4 ya wanaume duniani. Ni ejaculatory disorder na ya huyo jamaa inaitwa delayed ejaculation endapo huyo mtu anawezakufikia kumwaga baada ya muda mrefu au retarded ejaculation endapo hawezi kabisa kumwaga. Kama ni mume wa mtu na ana watoto basi anaweza kupiga bao. Tatizo hilo hutokea ktk umri mkubwa kwa baadhi ya watu na wengine hulitengeneza wenyewe wakijua au kwa bahati mbaya.

Wanalitengeneza wenyewe kwa kutokujua? Kivipi Mkuu ? Tumwagie Elimu Kiongozi !
 
IMG_20160801_210521.jpg
natibu tatizo la nguvu za kiume kwa matunda tu bila kemikali yoyote.natoa formula ya kuandaa mchanganyiko wa matunda ukiwa nyumban kuna gharama ya formula hii ni elfu 20ilipwe ofisin chanika dsm na formula inatumwa kwa whats app hapohapi ofisini.matunda ni maj tikit nusu karot kadhaa ndizi kadhaa. 0712505049
Elfu 20 ni gharama za kukufuatilia tatizo lako kwa matatizo yanatofautiana kuna fomula tofaut kutokana na ukubwa wa tatizo na utofauti wake .
 
Attachments

  • IMG_20160801_210521.jpg
    IMG_20160801_210521.jpg
    74.6 KB · Views: 52
View attachment 374597 natibu tatizo la nguvu za kiume kwa matunda tu bila kemikali yoyote.natoa formula ya kuandaa mchanganyiko wa matunda ukiwa nyumban kuna gharama ya formula hii ni elfu 20ilipwe ofisin chanika dsm na formula inatumwa kwa whats app hapohapi ofisini.matunda ni maj tikit nusu karot kadhaa ndizi kadhaa. 0712505049
Elfu 20 ni gharama za kukufuatilia tatizo lako kwa matatizo yanatofautiana kuna fomula tofaut kutokana na ukubwa wa tatizo na utofauti wake .

Nyie vipi... Jukwaa la Matangazo lipo kule.Huku watu wanaelimishana kuhusu afya sio utapeli utapeli
Dr wa mitishamba tiba asili..natibu nguvu za kiume kwa siku 5 tuu karibuni 0744069527
 
Hana tatizo lolote lile.
Kuna aina 2 za kumwaga.
1.ejaculation (bao kutoka nje)
2.injaculation(bao kutotaka nje)
Tofauti na mwanamke mwanaume Huwa na uwezo Wa kuamua muda gani akojoe. So inawezekana jamaa hajaamua kukojoa tu kwa makusudi. Pili kuna aina mbili za ukojoaji kama nilivyosema hapo juu. Inawezekana anakojoa Kwa ndani na shahawa azitoki nje.
Kikubwa ni Kwamba katika ufanyaji wa mapenzi mwanaume hatakiwi kabisa kukojoa labda kama analengo la kumpachika mimba mwanamke. Binafsi nimesoma miaka 3 elimu juu ya ufanyaji wa mapenzi kutoka kwa mashaulin monk wa kichina so naelewa nisemacho. Naomba niishie hapo
 
Ebu
Dr wa mitishamba tiba asili..natibu nguvu za kiume kwa siku 5 tuu karibuni 0744069527
Toa ushaid wa watu waliopona ili tuamin ufanisi wa tiba yako kama mimi nilivyotibu ili tiba bora watu waiujue toa ushaid kama unao....
 
Utapelu gan sasa wakat mimi natuma foormula kwanza ndio natumiwa pesa
Nyie vipi... Jukwaa la Matangazo lipo kule.Huku watu wanaelimishana kuhusu afya sio utapeli utapeli
 
Nyie vipi... Jukwaa la Matangazo lipo kule.Huku watu wanaelimishana kuhusu afya sio utapeli utapeli
Utapeli gani sasa mimi natuma formula kwanza ndio natumiwa pesa au utapeli wa kutapeliwa mimi
 
huyo jamaa kuna vitu anatumia kabla ya mchezo ya wezekana anameza panado za kenya na maji ya baridi kabla ya game au wazee wa amarula au ndo alivyo tu anywei ngoja waje wazoefu .....
Mtaua watu jamani, panado na maji ya baridi zinahusikaje kwenye ejaculation issues
 
Mdogo wako kaiba mume wa Mtuu?? Mwambie dawa yake inachemka...
 
Huyo jamaa ni mkongwe wa chaputa anahtaji psychological help
 
Ss km anadate na mdogo ww umejuaje km hapizi? umbea huo! au tyr na ww kishakupitia. ni hv kuna dawa inatoka Congo inaitwa puturu, I think ndo huwa anaitumia. mwanaume akiitumia hiyo anaweza kiisugua "K" hadi saa 1 na zaidi au asikojoe kabisa
Live huyo mtoa post aseme ukwel kuwa maswahiba yanamkumba yy asituongopee huwez zungmza na mdg wako mambo kama hayo na istoshe mwanamme mwenywe mme wa mtu
 
Jamani habari za humu ndani,

Nina mtu anadate na mdogo wangu, ila tangu walipoanza kudate huyo mwanaume hajawahi kupizi hata siku moja, na mzee anapachimba kwa mda wa lisaa au dakika 55 bad luck mwanaume ameoa.

Swali langu ni hivii, je hana mbegu au ana matatizo na amedate nae kwa mda wa mwaka sasa lakini duuh! Inahuzunisha na anadai mzigo haulali hata kama wamefanya kwa mda mrefu so huwa anavaaga tu boxer yake huku kitu mnara.

Naombeni mawazo yenu ili tujaribu kumshauri huyu shemeji angu coz hata yeye anashangaa.
Ungesema ni wewe unakitwa vilivyo ungepungukiwa nini?
 
Back
Top Bottom