Sukari Mine
New Member
- Dec 9, 2020
- 4
- 14
Vipi mimi ni oparator wa kijiko.naweza pata huko mgodini?Njoo Geita au Mara,au Kahama...kazi hizo zinatoka sana...unaweza tafuta ukapata
Mi simshauri kuzunguka mikoa bila direction ,atapoteza tu hela mwisho wa siku bila bila🤔🤔🤔🤔Njoo Geita au Mara,au Kahama...kazi hizo zinatoka sana...unaweza tafuta ukapata
Vizuri uje geita mbona ukiangaika unapataVipi mimi ni oparator wa kijiko.naweza pata huko mgodini?
Vizuri uje geita mbona ukiangaika unapata