radiation JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 241 Reaction score 254 Jul 15, 2013 #1 wana Jf nimechaguliwa kujiunga kidato cha tano shule ya lyamungo PCB naomba kama kuna mwenye joining instructions hata ya mwaka jana aniandikie vitu muhimu +ada na michango mingine
wana Jf nimechaguliwa kujiunga kidato cha tano shule ya lyamungo PCB naomba kama kuna mwenye joining instructions hata ya mwaka jana aniandikie vitu muhimu +ada na michango mingine
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Jul 15, 2013 #2 Hata mimi naisaka kuna dogo langu kachuguliwa hapo na yeye pcb, uniforms ni rangi?
I Iddimarisa Member Joined Jul 12, 2013 Posts 29 Reaction score 4 Jul 15, 2013 #3 mwenyewe naisaka kinomaaa bt abt uniform. ni mpya coz nasikia zipo tofauti na za 6