Msaada: mwenye joining instruction used ya lyamungo

Msaada: mwenye joining instruction used ya lyamungo

radiation

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
241
Reaction score
254
wana Jf nimechaguliwa kujiunga kidato cha tano shule ya lyamungo PCB naomba kama kuna mwenye joining instructions hata ya mwaka jana aniandikie vitu muhimu +ada na michango mingine
 
Hata mimi naisaka kuna dogo langu kachuguliwa hapo na yeye pcb, uniforms ni rangi?
 
mwenyewe naisaka kinomaaa bt abt uniform. ni mpya coz nasikia zipo tofauti na za 6
 
Back
Top Bottom