Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za noti au coin? Kama noti me ninazo kibao mpk sh 50 ya noti ipoNimekuwa nikipita maeneo kadhaa ya Dar na kuona fedha za Tanzania ambazo kwa sasa hazitumiki zikiuzwa. Na nimejaribu kuwauliza wanakozipata hawanipe majibu stahiki.
Sasa nimekuja kwenu wana jf mnipe taarifa wapi zinakopatikana
BoT....Na nimejaribu kuwauliza wanakozipata hawanipe majibu stahiki.
Sasa nimekuja kwenu wana jf mnipe taarifa wapi zinakopatikana
Mkuu,, Naomba utaratibu namna ya kuzipata
Ni hobi tu,, mkuuMnafanyia nini hizo fedha