Nimekuwa nikipita maeneo kadhaa ya Dar na kuona fedha za Tanzania ambazo kwa sasa hazitumiki zikiuzwa. Na nimejaribu kuwauliza wanakozipata hawanipe majibu stahiki.
Sasa nimekuja kwenu wana jf mnipe taarifa wapi zinakopatikana