IZENGOB
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 323
- 317
Wakuu habari za kazi nina shamba langu mahali baada ya mavuno, nina ndoto ya kununua gari ya mzigo isiyozidi tani 3 ambayo itaniingizia kipato kwa kubeba mazao ya wakulima na mazao yangu kupeleka sokoni.
Gari za mizigo sizijui mwenye kuzifahamu naomba msaada anitajie, hata kuweka picha na sifa zake karibuni.
Gari za mizigo sizijui mwenye kuzifahamu naomba msaada anitajie, hata kuweka picha na sifa zake karibuni.