Wakuu habari za kazi Nina shamba langu mahali baada ya mavuno,Nina ndoto ya kununua gari ya mzigo isiyozidi tani 3 ambayo itaniingizia kipato kwa kubeba mazao ya wakulima na mazao yangu kupeleka sokoni.Gari za mizigo sizijui mwenye kuzifahamu naomba msaada anitajie,hata kuweka picha na sifa zake karibuni.