Msaada mwenye taarifa za JKT ya kujitolea 2014

Msaada mwenye taarifa za JKT ya kujitolea 2014

magoye

Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
37
Reaction score
0
mwenye taarifa kamili kuhusu taarifa za JKT wa kujitolea 2014
 
mh andaa shamba la shule au kijiji utakuwa umejitolea vya kutosha
 
mwenye taarifa kamili kuhusu taarifa za JKT wa kujitolea 2014

Mkuu kama ni uzalendo na ndoto za kulitumikia taifa sina neno,ila kama ni utafutaji wa maisha,utajila mkuu wangu
 
Back
Top Bottom