Msaada mwenye uelewa kuhusu kufungua akaunti benki

Msaada mwenye uelewa kuhusu kufungua akaunti benki

sitaki hela

Member
Joined
Oct 10, 2022
Posts
93
Reaction score
117
Kuna rafki yangu anataka kufungua a/c kwenye bank yeyote NMB au CRDB ila Sasa hanakitambulisho chochote yaan Cha mpiga kura, Wala NiDA ,Sasa mtu huyo anaweza kufungua a/c?
 
Nenda na document yoyote inayo ku link na serikali. Cheti Cha kuzaliwa anacho?
 
Acha kusema rafiki yako. Hebu nenda tawili la benki husika lililokaribu nawe ukapewe utaratibu huko.
 
Kama ana namba ya Nida aende, inatumika.
Wanavuta ile online copy
 
Kuna rafki yangu anataka kufungua a/c kwenye bank yeyote NMB au CRDB ila Sasa hanakitambulisho chochote yaan Cha mpiga kura,Wala NiDA ,Sasa mtu huyo anaweza kufungua a/c ?
Nenda bank husika utapata maelezo yote na vitu vya msingi vinavyotakiwa
 
Back
Top Bottom