sitaki hela
Member
- Oct 10, 2022
- 93
- 117
Usikute umeenda kwa wakala🤣🤣🤣🤣Wamesema awe na kitambulisho Cha mpiga kura au NiDa
Nenda bank husika utapata maelezo yote na vitu vya msingi vinavyotakiwaKuna rafki yangu anataka kufungua a/c kwenye bank yeyote NMB au CRDB ila Sasa hanakitambulisho chochote yaan Cha mpiga kura,Wala NiDA ,Sasa mtu huyo anaweza kufungua a/c ?