Habari wana JF,
Naomba msaada kujua taratibu ninazo takiwa kufanya ili niweze kuagiza mzigo wa matairi ya gari kutoka China. Zipo kampuni kama mbili ambazo nawasiliana nazo. Hapa nataka kujua kuhusu ubora unaotakiwa na ni kipi kinatakiwa kufanya kabla maana huwa tunaona mizigo ya watu ikichomwa moto.
Natanguliza shukrani