Kinkajou
Member
- Jan 4, 2016
- 71
- 54
Nili apply TILL ya M-Pesa mwaka jana mwezi wa 6 kwenye duka la Vodacom desk nikaambiwa baada ya miezi mitatu kutokana na umbali wa duka nlienda kuangalia kama tiari nianze biashara nkaambiwa wamegoma Vodacom HQ (MAKAO MAKUU) wanataka utumie kitambulisho cha taifa.
Mimi sikua nalo ikaabidi nitumie online copy mwezi wa kumi iyo nlipomalza wakasema nifate Jnuari sikukata tamaa, Januari tarehe za kati nikarudi wakasema till yangu hawaja tuma ila za wengine nlio apply nao tiari wamegawa kwa wahusika na all ready kila documents zangu zilikua sawa.
Hapa leseni yangu ina expire mwezi wa sita, nifanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app