Msaada mwenye uelewa upande wa Till ya M-PESA

Msaada mwenye uelewa upande wa Till ya M-PESA

Kinkajou

Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
71
Reaction score
54
Nili apply TILL ya M-Pesa mwaka jana mwezi wa 6 kwenye duka la Vodacom desk nikaambiwa baada ya miezi mitatu kutokana na umbali wa duka nlienda kuangalia kama tiari nianze biashara nkaambiwa wamegoma Vodacom HQ (MAKAO MAKUU) wanataka utumie kitambulisho cha taifa.

Mimi sikua nalo ikaabidi nitumie online copy mwezi wa kumi iyo nlipomalza wakasema nifate Jnuari sikukata tamaa, Januari tarehe za kati nikarudi wakasema till yangu hawaja tuma ila za wengine nlio apply nao tiari wamegawa kwa wahusika na all ready kila documents zangu zilikua sawa.

Hapa leseni yangu ina expire mwezi wa sita, nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda kuna tatizo kweli katika uaandaaji wa taarifa zako lakini wengine huziuza kwa watu wengine na ukiwabana sana wanaenda kuibadilisha wanakupa till yako.

Nimenunua till mwaka 2018 kila wakibanwa wananibadilishia nyingine mpaka sasa nimetumia kama 4 ndani ya miaka 2.

Suala la leseni kuexpai haina madhara sana kwani kinachohitajika ni leseni na wanayo.
 
Mkuu viambatanishi vyako lazima vifanane majina sawa kuanzia tin,leseni na nida pia na namba ya simu uliyowapa iwe inamajina sawa kama kwenye viambatanishi. Pia TIN namba iwe ile ya sasa sio ile ya zamani,ya sasa ina maua pembeni ya zamani ina mistari pembeni.

Sasa basi, kama umefata taratibu zoote hizo na bado hujapata till yako nenda pale HQ omba kuonana na staff anaehusika na till za mpesa ataangalia kwenye system kisha atakupa majibu yenye kueleweka.

Kuna till za Mpesa huwa zinatoka alafu zinauzwa juu kwa juu. Komaa mpaka kieleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu viambatanishi vyako lazima vifanane majina sawa kuanzia tin,leseni na nida pia na namba ya simu uliyowapa iwe inamajina sawa kama kwenye viambatanishi. Pia TIN namba iwe ile ya sasa sio ile ya zamani,ya sasa ina maua pembeni ya zamani ina mistari pembeni.

Sasa basi, kama umefata taratibu zoote hizo na bado hujapata till yako nenda pale HQ omba kuonana na staff anaehusika na till za mpesa ataangalia kwenye system kisha atakupa majibu yenye kueleweka.

Kuna till za Mpesa huwa zinatoka alafu zinauzwa juu kwa juu. Komaa mpaka kieleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila documents zipo sawa hakuna kosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom