Msaada; mwenye ujuzi na hili naomba u share idea yako

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
Habarini za shughuli,
Najua kuna watu mbali mbali humu ndani ambao tayari eidha wamewahi kufanya au kujaribu kufanya shughuli za ujasiriamali.
Nahitaji mawazo yenu na ushauri wenu
Nategemea kufungua stationary, kwa walioanzisha biashara hii ni vitu gani muhimu vya kuzingatia vifaa ninavyo pia computer ninazo saba hivi kinacho nipa shida ni eneo je jinsi gani na weza kufahamu eneo hili kwa biashara hiyo itatoka ? je naweza pata mtu nikamtumia ? navipi nikaweka na cafe maana ninazo computer za kutosha
 
mkuu hii thread yako ni nzuri sana ila ningekushauri uipeleke kwenye Jukwaa la Uchumi itendewe haki!!

Ushauri tu mkuu,.
 
Mkuu unatakakufungua stationary au stationery?
 
Back
Top Bottom