Unataka uuzie wapi?naamini wapo
Huenda mambo ya majukumu labda..
Sema chochte mkuu, ata tetesi mi nitazifanyia kazi
Mm naona vittu muhimu ch kwanza friji. Ili vyakula vikibaki vikae humo pia hii biashara inaendana na kuuza soft drinksBado Mkuu
Nasubiri mwongozo wa kitaalam kwanza.
Mimi sina experience na biashara hiyo mkuunaamini wapo
Huenda mambo ya majukumu labda..
Sema chochte mkuu, ata tetesi mi nitazifanyia kazi
Simu hizi mambo mengi kaka, ila kiufupi ata hitaji angalau meza za plastik tatu Kwa kuanzia.Ngoja tumuulize huyu jamaa
Intelligent businessman
Safi sana FB... Future BillionerSimu hizi mambo mengi kaka, ila kiufupi ata hitaji angalau meza za plastik tatu Kwa kuanzia.
Sufuria kubwa 2, na size ya kati Kama 2. Moja ya ugali, wali. Mdogo kwa ajili ya mboga mboga.
mahitaji ya watu ndo yata mjulisha awe ana pika kipi na kipi, Tena kwa size gani.
Maana huwezi,I pika chapati, kumbe wateja wana hitaji maandazi.
Tembelea mama ntilie wenzio, ujue Wana pata mahitaji eneo gani kwa Bei nafuu.
Maana faida huanzia Kwenye manunuzi, wenzio waki nunua mchele kwa 1700, wewe uka nunua kwa 2000, tayari Usha achwa kwa 300
Pamoja Sana Kaka, nalog off kwa Leo, Nina mambo mawili matatu Lazima nimalizane nayoSafi sana FB... Future Billioner
Sawa sawa kaka haina shida....Pamoja Sana Kaka, nalog off kwa Leo, Nina mambo mawili matatu Lazima nimalizane nayo
Namalizia maliziaa KU hype hype Humu, kichwa kina chemka- Sana Kaka.Sawa sawa kaka haina shida....
Play safe mkuu
Ukijua unataka kwenda kuuza wapi ndipo itakuwa rahisi kupata mchanganuo wa gharama na bei ya kuuza chakula pia. Location ina matter.Bado Mkuu
Nasubiri mwongozo wa kitaalam kwanza.
Unataka uuzie wapi?
Asante kwa maoni mkuu..Mm naona vittu muhimu ch kwanza friji. Ili vyakula vikibaki vikae humo pia hii biashara inaendana na kuuza soft drinks
Ugali nyama choma au kichuli ni moja kati ya vyakula vyenye mvuto mkubwa zaid humo mahotelin. Eneo husika litadefine uuze plate kias gan na nn uzibgtie...
Mm naoa research ambayo ni field base ni nzur kuliko hapa wataalamu wengi wataongea kwa perceptions tu
Siku ungepata wasaa, ungemtafuta mama Ntilie mmoja, unakula kwake mara 2 uku unaangalia vifaa vyake afu siku ya tatu unamuuliza changamoto zake.Mwaga madini mkuu, unaweza ukalipiwa kreti