Sawa. Nimekusoma mkuu, location ni mtaani naweza sema kwa kuwa sio centre kihivyo ingawa kuna biashara nyingine mchanganyikoUkijua unataka kwenda kuuza wapi ndipo itakuwa rahisi kupata mchanganuo wa gharama na bei ya kuuza chakula pia. Location ina matter.
Okay, hili la maana sana.Siku ungepata wasaa, ungemtafuta mama Ntilie mmoja, unakula kwake mara 2 uku unaangalia vifaa vyake afu siku ya tatu unamuuliza changamoto zake.
Okay. Mi ninavyoamini.Okay, hili la maana sana.
Ingawa nimefanya mara moja lakini nimehis kama hajafunguka vile nnavyotaka mimi
Noted Mkuu.Okay. Mi ninavyoamini.
1. Vifaa vya kupikia
2. Vifaa vya kupakulia
- ASUBUHI: Kikaango cha chapati na vya kukandia, jiko la mkaa na la gesi dogo, sufuria za supu &maharage, flampeni la maandazi na vifaa vyake, kama utapika vitumbua utahitaji pia kaangio lake.
- MCHANA: Sufuria za wali na ugali, sufuria za mboga mbalimbali.
- JIONI (kama utakuepo): Itafanana na mchana.
3. Fenicha za kukalia wateja na Meza
- Sahani, Bakuli za mfupa na udongo na za bati, vijiko, mahotpot kadhaa na vyombo vya kuwekea maandazi, chapati na sambusa.
USHAURI:
- Utampata fundi selemala mzuri akutengenezee pahala pa kukaa wateja, pawe na kivuli na upepo mwanana, pasiwe jirani na vumbi wala harufu yoyote, aweke benchi simple na meza kadhaa.
- Biashara nyungi zina feli au kufahuru, ila mchawi ni vitu vitatu: Location, Eneo na Mahali. Hakikisha unaweka biashara yako mahala ambapo oana raia/wateja.
- Kua unique, kama unajua kupika pika vitu kama sambusa, bagia, etc ambavyo ni adimu. Mtaani zimejaa chapati na maandazi mabaya sana.
- Weka huduma safi na fanya delivery kwa watu wa madukani au ofisini.
- Kuwepo na majinya kunywa ya bure kwa watu wa vipato vya kati.
- Uza na juice ya bei ndogo kuanzia Tsh mia 5 na kuendelea kama utaweza.
Unataka umama ntilie wa aje kufungua mgahawa au kutembeza? Au plan ni kuuza uzaje.... Hii ya kutembeza naona ni nzuri zaidiNoted Mkuu.
Umetisha sana!
Umetisha mkuu, nashukuru kwa maoni.Unataka umama ntilie wa aje kufungua mgahawa au kutembeza? Au plan ni kuuza uzaje.... Hii ya kutembeza naona ni nzuri zaidi
Ukianza na mahesabu ya hadi ununue ma viti mafriji hautoboi, labda kama huo mtaji upo.
Hii biashara mi nilifanyaga enzi hizo nikiwa naishi home, mtaji ni masufuria ya maza 😁. Kuna mdada alikua anauza juice pale mtaani ndo nilimuomba lift akipeleka juice ananipelekea na msosi.
Napika wali, maharage, nyama na mboga za majani tuu...PIKA CHAKULA KIZURI wateja hawaondoki. Na ujiboreshe nunua visahani vizuri hata kama ni cha mfupa ila kizuri sio ile misahani ya mabati
Jitahidi sana uwe msafi, ukishapika kimbia oga ndio uanze kuuza usizunguke zunguke na jasho lenye mixa ya nyanya na vitunguu
Hebu ingia field zungukia humo kwa hao kina mama angalia wanavofanya anza biashara na kidogo ulichonacho, usiombe ombe sana ushauri wa watu UTAKWAMA
Na ukiachana na umama ntilie, kama unapokaa kuna eneo la shule, angalia biashara ya wanafunzi....hawa ni wateja wa uhakika mnooooo yani mnoUmetisha mkuu, nashukuru kwa maoni.
umenipa mwangaza kwa ukubwa
Watoto wa shule, wale ni viwavi....wanapenda vingi kachori ni kitu chao pendwa ila pia vyakula vya sukari sukari, ice creamKwa bidhaa kama zipi Mkuu
Okay, noted mkuu.Watoto wa shule, wale ni viwavi....wanapenda vingi kachori ni kitu chao pendwa ila pia vyakula vya sukari sukari, ice cream
Nisikutoe kwenye wazo lako lakini la biashara ya msosi nayo ni nzuri pia
Hiyo njia ya shule hiyo ni hela 😄Okay, noted mkuu.
Nimehoji kwa kuwa naishi karibu na shule na hilo goli la chakula nililopanga kuanzisha lipo hapa hapa maeneo ya karibu na shule.
Ulianza biashara???Okay, noted mkuu.
Nimehoji kwa kuwa naishi karibu na shule na hilo goli la chakula nililopanga kuanzisha lipo hapa hapa maeneo ya karibu na shule.
Aanze wapi? Wewe angalia hili jukwaa wote wanaoomba ushauri kama wanaenda kutekeleza.Ulianza biashara???
Ndio maana CONTROLA huwa anasema yeye hawezi kuacha kumwaga nondo kisa kuogopa kuibiwa ideas, make anaowaambiwa huwa hawatendi.Aanze wapi? Wewe angalia hili jukwaa wote wanaoomba ushauri kama wanaenda kutekeleza.
Biashara sio kitu cha mchezo mchezo [emoji23][emoji23] ni vita na ni wachache wanaweza ndo mana wanasema biashara nying hazitoboi miaka 5 watu wanakata tamaa..kuna mdada alifungua sehem anauza vinywaji hata mwezi 1 haukufika akaacha kisa changamoto za business haziwezAanze wapi? Wewe angalia hili jukwaa wote wanaoomba ushauri kama wanaenda kutekeleza.
Sio rahisi hivyo.Siku ungepata wasaa, ungemtafuta mama Ntilie mmoja, unakula kwake mara 2 uku unaangalia vifaa vyake afu siku ya tatu unamuuliza changamoto zake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aanze wapi? Wewe angalia hili jukwaa wote wanaoomba ushauri kama wanaenda kutekeleza.