Msaada mwenye wimbo wa Lady Jay Dee wa NURU

Msaada mwenye wimbo wa Lady Jay Dee wa NURU

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
5,809
Reaction score
11,462
Wakuu habari zenu humu. Nina shida ya nyimbo ya Jide, Nuru. Kwa mwenye link mtandaoni anipe. Nimeitafuta sana mitandaoni bila mafanikio. Kwa mwenye nayo nikimpa hata namba anirushie whatsaap itakua poa sana.
 
Back
Top Bottom