Young Gwahe
Member
- Sep 3, 2017
- 53
- 163
Nina tatizo la kuwashwa haswa nikipigwa na jua na kuamka huku nikiwa nina alama za kuchanjwa mgongoni na mgongo kuuma.
Haya matatizo yanatokana na nini?
Haya matatizo yanatokana na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchanjwa chanjwa usiku ukiwa umelala ni dalili mbaya ya wewe unafuatwa hapo unapo ishi na wachawi wanakuja usiku na wanaingia chumba unacho kaa na kukuchezea kiuchawi na kukutia maradhi ya mgongo .Nitafute mimi nipate kukutibia.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuNina tatizo la kuwashwa haswa nikipigwa na jua na kuamka huku nikiwa Nina Alana za kuchanjwa mgongoni na mgongo kuuma haya matatizo yanatokana na nn??
Usiogope elimu ya Giza hiyo Sayansi isiyo julikana na watu wa kawaida.Doh!haya mambo mengine muwe mnaomba ushauri mchana au hata asubuhi hivi....sasa usiku huu na kuchanjwa mgongoni tena!nimeogopa
Usiku huu itabidi nisali aseee