Msaada: Mwili unawasha

Msaada: Mwili unawasha

kinehe

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
205
Reaction score
198
Wanajamvi na watalaam mwenye kujua dawa, nawashwa mwili mzima halafu vinatokea kama alama za ukurutu/kuungua, dawa nilzotumia hadi sasa bila mafanikio ni hycorum cream, dexamed tablets na dettol ya maji.
 
Pole mkuu. sababu zinaweza kuwa kadhaa kulingana na dalili zako. Chunguza maji unayoogea kama ni salama, nenda muhimbili kapime mzio(allegy), acha kukaa kwenye shower ya bafuni kwa muda mrefu, tumia kilainishi ngozi kama una ngozi kavu.
Ukihitaji kilanishia ngozi itabidi ujue aina ya ngozi yako kama ni kavu au ya mafuta. Tatizo likiendelea au ushauri wa BURE, nipigie 0713-039875
 
Back
Top Bottom