Popoma katika ubora wako,mwana mtoka pabaya wewe.
Pole, ila kuwashwa hakuhusiani na ukimwi, inaweza kuwa alergy flani unayokutokana na vitu unavyotumia mfano sabuni, lotion etc.
Mi pia nilikua na tatizo ka ilo kwa zaidi ya miaka miwili, likapotea.
Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku.
Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?
Mkuu ulipona muwasho? Huo muwasho uliambatano na upele?Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku.
Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?