Msaada: Mwili unawasha

Msaada: Mwili unawasha

Pole, ila kuwashwa hakuhusiani na ukimwi, inaweza kuwa alergy flani unayokutokana na vitu unavyotumia mfano sabuni, lotion etc.

Mi pia nilikua na tatizo ka ilo kwa zaidi ya miaka miwili, likapotea.


Ulitumia nini mkuu, au ngoma ilikata yenyewe?.
 
Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku.

Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?

ukiweza ni pm cz mie nimejrib bt nimeshindwa cjajua tatizo nn
 
Nenda clinic unayopatiwa matibabu wanajua yote hayo.....na wanaandika report ambazo zinakua monitored na wataalamu wa juu zaidi. Kwasasa hv trainings kwa watoa huduma zipo kwa kiwango cha juu sana na mawasiliano yao na wataalamu wa juu katika kutoa huduma hizo yapo efficient
 
Swala hili ni nyet sana na linahtaj umakin wa haki ya juu
Chamcng ufanye vpmo uchek nn sababu za muwasho ila kwa maelezo zaid 0714.912.390 whatsup me
 
Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku.

Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?
Mkuu ulipona muwasho? Huo muwasho uliambatano na upele?
 
Back
Top Bottom