Msaada: Mwili unawasha

Msaada: Mwili unawasha

Mullah omar

New Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
4
Reaction score
1
Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku.

Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?
 
Pole sana ila hata Hiv kunadawa za kuongeza sd4 nk.kwa maelezo zaidi au ushaur piga number 0712757453
 
Unafuga mbwa au una mifugo? Kama ni hivyo inawezekana ikawa sababu
 
Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku.

Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?

jikune kama vile unapiga gitaa la daly kimoko muwasho wote utaisha.
 
pole nenda hosp aisee mbona ni bureee au una ka woga kapate ushauri wa doc muhim sana hapi yako inahitaj umqkini si ushauri wa hapa jf... watu wengi sa hiz wanakuwa chicha kwa viroba stress za uchaguzi......

utajibiwa majibu ya ma.vi mpaka uone nyotanyota
 
Pole kwa ttzo hilo ila zpo tiba ambazo znaweza kukusaidia hata hyo HIV zpo dawa za kuongeza cd4 kwa msaada zaidi piga number 0712757453
 
Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku.

Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?

pl mkuu nend hosptal na km utapat tiba ni pm cz kuna mtu pia an tatizo km lako
 
Mimi ni HIV positive, lakini bado sijaanza kutumia dawa za ARV'S, na mwili wangu unawasha sana hasa wakati wa usiku.

Nini dawa ya kupunguza au kuondoa tatizo hilo la muwasho?
Haya mimi ninakupa Offer Dawa ya kukutibu muwasho wa mwilini mwako jipakae Mwilini mwako Mafuta ya Kitunguu Maji Na Mafuta ya Mchaichai kila siku asubuhi na jioni utapona. Mkuu Mullah omar Kama unataka Dawa ya kukutibu ugonjwa wako wa Ukimwi Aka HIV kabla hujatumia Dawa za ARV nione kama unazo pesa ninaweza kukutibia na ukapona ukihitaji Matibabu yangu tuwasiliane kwa Kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Pole, ila kuwashwa hakuhusiani na ukimwi, inaweza kuwa alergy flani unayokutokana na vitu unavyotumia mfano sabuni, lotion etc.

Mi pia nilikua na tatizo ka ilo kwa zaidi ya miaka miwili, likapotea.
 
Haya mimi ninakupa Offer Dawa ya kukutibu muwasho wa mwilini mwako jipakae Mwilini mwako Mafuta ya Kitunguu Maji Na Mafuta ya Mchaichai kila siku asubuhi na jioni utapona. Mkuu Mullah omar Kama unataka Dawa ya kukutibu ugonjwa wako wa Ukimwi Aka HIV kabla hujatumia Dawa za ARV nione kama unazo pesa ninaweza kukutibia na ukapona ukihitaji Matibabu yangu tuwasiliane kwa Kubonyeza hapa.Mawasiliano

Mkuu unatibu ukimwi au macho yangu?!
 
Back
Top Bottom