malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka ushauri?
Mzee wangu alifanyiwa operation ya tezi dume mwaka2016 akawa freshi tu Sasa mwaka Jana mwezi wa 8 alifanyiwa kipimo Cha tezi dume Cha kupitisha kwenye njia ya mkojo baadae kikamletea shida korodani zikawa zinamuuma sana korodani moja ikageuka inabid afanyiwe operation kuiweka sawa,madaktar akamchunguza akamwambia tezi dume imeanza kurudi napia hernia
Daktari ameshauri afanyiwe operation Tena ya tezi dume na hernia
Mzee wangu pia alishawahi fanyiwa operation ya kuzibua mishipa ya moyo hapo jkci miaka mitatu iliyopita na pia atatizo la sukari na presha pia ,pia huwa mapigo ya moyo Yako chini
Nauliza anaweza fanyiwa hizo operation mbili ya tezi dume kwa mara ya pili na pia operation ya hernia ukizingatia anatatizo la presha na mapigo ya moyo kuwa chini na pia asukari