Kuwa Mvumilivu, tarehe 27 des to 27 jan ni 30 days, kawaida waiting time ni 60 to 90 days. Kuwa mpolee.
Ukijumlisha na hiyo Corona virus huko yani ndio usiwaze.
SangaweJr
Kama ameongeza siku 20 basi subiri mkuu. Kuwasiliana na customs means uende posta.nimewasiliana naye kasema niwasiliane na customs, na ameongeza siku 20. Sasa hapo kwenye kuwasiliana na customs inakuwaje?
Corona virus nayo imepamba moto, kuna stores kadha hawajarudi makazini, nimewasiliana na sellers wengi kimya.
Inabidi kuhamia America na Europe kwa muda japo bei za huko ni kimbembe kwa bidhaa nyingi.
Zimebaki kama 10 sijui kama seller ataongeza au la, ila zikibaki 5 tu nafungua dispute.ulishaongeewa muda wa protection?
Hawawezi kukubali utaambiwa usubiri muda uishe.Zimebaki kama 10 sijui kama seller ataongeza au la, ila zikibaki 5 tu nafungua dispute.
Hali bado ni tete huko china, kama unafatilia vizuri hicho kirusi kinawapelekesha sana, jaribu kupitia CNN news hata kwenye web yao kila siku utajionea, kasi ya maambukizi ni kubwa sana. Jana tu unaambiwa watu 97 wamekufa kwa nakufikia idadi ya watu 900+ na hapo kuna tetesi hizi taarifa zimechujwa kwamba waliokufa ni wengi zaidi ila wanaficha kupunguza panic kwa public na jumuia ya kimataifa kwa ujumla.waliextend mapumziko hadi leo tarehe 10 feb
Yaah... Hii ni kweli jamaa hawasemi idadi halisi,Hali bado ni tete huko china, kama unafatilia vizuri hicho kirusi kinawapelekesha sana, jaribu kupitia CNN news hata kwenye web yao kila siku utajionea, kasi ya maambukizi ni kubwa sana. Jana tu unaambiwa watu 97 wamekufa kwa nakufikia idadi ya watu 900+ na hapo kuna tetesi hizi taarifa zimechujwa kwamba waliokufa ni wengi zaidi ila wanaficha kupunguza panic kwa public na jumuia ya kimataifa kwa ujumla.