Msaada: Mzigo kuchelewa baada ya kuagiza tangu Desemba 2019

Msaada: Mzigo kuchelewa baada ya kuagiza tangu Desemba 2019

Hawawezi kukubali utaambiwa usubiri muda uishe.

Muda wa nyongeza ukiisha unaweza kufungua dispute? , Muda wa awali huwa ni 60Days, na baada una ziada ya 15days. Je ukiongezewa 16 Days, zikiisha bado unaweza kufungua dispute baadata ya hiyo jumla ya siku 76?
 
Hali bado ni tete huko china, kama unafatilia vizuri hicho kirusi kinawapelekesha sana, jaribu kupitia CNN news hata kwenye web yao kila siku utajionea, kasi ya maambukizi ni kubwa sana. Jana tu unaambiwa watu 97 wamekufa kwa nakufikia idadi ya watu 900+ na hapo kuna tetesi hizi taarifa zimechujwa kwamba waliokufa ni wengi zaidi ila wanaficha kupunguza panic kwa public na jumuia ya kimataifa kwa ujumla.

Kwani hii ina athari zozote kwa parcel iliyofika na kudespatch Singapore?
 
Mm nilinunua mzigo wangu DUBAI 19-Desemba 2019.meli imefika 14-2-2020. Changamoto ilikua upanuzi w bandari tu. Siku zingine inakua poa tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom