Hali bado ni tete huko china, kama unafatilia vizuri hicho kirusi kinawapelekesha sana, jaribu kupitia CNN news hata kwenye web yao kila siku utajionea, kasi ya maambukizi ni kubwa sana. Jana tu unaambiwa watu 97 wamekufa kwa nakufikia idadi ya watu 900+ na hapo kuna tetesi hizi taarifa zimechujwa kwamba waliokufa ni wengi zaidi ila wanaficha kupunguza panic kwa public na jumuia ya kimataifa kwa ujumla.