nywelemoja
Member
- Mar 9, 2023
- 12
- 7
Za asubuhi, naombeni mwongozo kidogo.
Nimenunua mzigo wangu toka Ali express ila sielewi, ikiwa hivi ndo inakuwaje? Mzigo umefika ama niendelee kusubiri?