1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 604
Wadau naombeni msaada wenu hasa wale wenye uzoefu na masuala ya NGO'S,kuna Ngo ilikua ina operate tokea mwaka 1998 mpaka 2007 ambapo ilikuja ku cease kutokana na founder wake kufariki,na hii ilitokana kua ilikua ikiendeshwa kama one man NGO zaidi,so baada ya yeye kufariki kuiendeleza ikawa ngumu,ila kwa kua NGO ilishafanya baadhi ya miradi mikubwa kama na NOVIB,FHI kupitia USAID,FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY etc,nimepata wazo kama kuna possibility ya kuifanya hii NGO iwe active tena (rebirth) ni bora kufanya hvyo na kuendeleza yale yaliyokua yanafanyika,sasa mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya NGOS ndio maana nimeleta ili suala hapa jamvini ili nipate ushauri wenu na kama kuna possibilities!asanteni