Msaada na hali ya ujauzito wangu

huenda mwili unafanya namna ya tuutoa huo uchafu, ila sasa, kama mtoto hajaanza kucheza hebu mskilizie mpaka wiki ya 18 mpaka 20 tuone huku unakunyea maji ya kutosha, ila sasa iwe unajichunguza kama kuna dalili nyingine yoyote mbaya, huo uchafu kuwa harufu mbaya, kupata homa, maumivu kuzidi, mtoto kutocheza mpaka hizo wiki hapo ni kwenda hospitali tena sio ile ya mwanzo (sina shaka na uwezo wa Dr wa mwanzo ila mimba ina complications nyingi kichwa kimoja kinaweza kisigundue kila tatizo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…