Msaada na hali ya ujauzito wangu

Msaada na hali ya ujauzito wangu

Habar ndugu zangu, natokwa na uchafu mweusi ukeni nilipata shida ya kubleed nikaambiwa mtoto yupo vzr na Hamna shida yeyote ila sasa tangu Jana naona natokwa na uchafu mweusi kabsa ukeni nikienda kujisaidia na tumbo linauma chini ya kitovu cjui shida ni nn..ujauzito wangu una 16weeks

Sent using Jamii Forums mobile app
huenda mwili unafanya namna ya tuutoa huo uchafu, ila sasa, kama mtoto hajaanza kucheza hebu mskilizie mpaka wiki ya 18 mpaka 20 tuone huku unakunyea maji ya kutosha, ila sasa iwe unajichunguza kama kuna dalili nyingine yoyote mbaya, huo uchafu kuwa harufu mbaya, kupata homa, maumivu kuzidi, mtoto kutocheza mpaka hizo wiki hapo ni kwenda hospitali tena sio ile ya mwanzo (sina shaka na uwezo wa Dr wa mwanzo ila mimba ina complications nyingi kichwa kimoja kinaweza kisigundue kila tatizo)

Nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom