Habari wako unajasiriamali naombeni ushauri juu ya hii biashara ya mchele haswa maeneo ya kuchukua kwa jumla, gharama zake na usafirishaji wake had dar nataka nifanye hii biashara ..mtaji wangu nataka nianzie na laki 8..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.