kasome section 66, 67 & 68 Tanzania evidence Act. just google it, utapata kinachoruhusiwa kwenye kutender documentary evidence mahakamani. pia kasome kifungu cha 173(1)Ni ushahidi gani unaokubarika mahakaman kwasabab nina kesi ya madai tulikubaliana mtuhumiwa anilipe pesa lakini pindi tunakubaliana yeye ana photocopy ya hati ya makubaliano na mm pia je copy hiyo itakubalika mahakaman kama ushahidi wa makubaliano yetu??