Msaada na ushauri kisheria

Msaada na ushauri kisheria

epic

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
27
Reaction score
5
Ni ushahidi gani unaokubarika mahakaman kwasabab nina kesi ya madai tulikubaliana mtuhumiwa anilipe pesa lakini pindi tunakubaliana yeye ana photocopy ya hati ya makubaliano na mm pia je copy hiyo itakubalika mahakaman kama ushahidi wa makubaliano yetu??
 
Kwanza hizo copy ni lazima zifanane kuanzia maandishi mpaka nukta pia kuwepo na sahihi zenu na majina yenu na mlichoandika kiwe kinaeleweka na mwisho kama walikuwepo mashahidi yawepo majina yao na sahihi zao pia kama wapo hivyo tu na ww uwe na uhakika kweli kama ulimuazima hela!
 
Ni ushahidi gani unaokubarika mahakaman kwasabab nina kesi ya madai tulikubaliana mtuhumiwa anilipe pesa lakini pindi tunakubaliana yeye ana photocopy ya hati ya makubaliano na mm pia je copy hiyo itakubalika mahakaman kama ushahidi wa makubaliano yetu??
kasome section 66, 67 & 68 Tanzania evidence Act. just google it, utapata kinachoruhusiwa kwenye kutender documentary evidence mahakamani. pia kasome kifungu cha 173(1)
 
Copy itakubalika ikiwa tuu hakuna uwezekano Wa kupata Original.
 
Lazima utoe sababu original ziko wapi,ukishindwa kuthibitisha original copy ni ngumu kukubaliwa ila sheria INA ruhusu copy kuwa tendered kama evidence
 
Back
Top Bottom