Duuh nawaonea huruma sana wale madoctor wanaume wanaotibu wa wanawake wanakazi ngumu sana ya wito.duuh wanakutana vitu vingi.imagine toka asubuhi anapoaza kazi mpaka jioni ameona ngapi ?na kila cku ndiyo kazi yake?za kila aina zuri kama ua la rose na zingine zinazotisha duuh hii noma .lkn poa waswahili usema mchangua K cyo Mto... Na pia utamaliza bucha nyama ni ileile ya ng'ombe .mkuu zipo aina mbali mbali za K ridhika na ya mpz wako mkuu kama zilivyo P .tunazo tofauti .kuna story moja anipa rafiki yangu .kulikuwa na sherehe ya kuwapa zawadi madoctor speacilist .jamaa walifikiria wakaamua kuwapa surpraise madoctor ; doctor wa kwanza alikuwa dentist wakatengeneza keki ya shepu ya jino ,wa pili alikuwa doctor wa macho ,naye pia wakategeneza keki kama jicho ,watatu alikuwa
Gynaecology ,wakapiga hesabu wakaona hii itakuwa matusi au kashfa .sasa mkuu ungekuwa wewe ungempa zawadi ngani huyu doctor muhimu sana Gynaecology??maana madoctor wote walitengenezewa keki zao kutokana utaraham wao ??