Msaada na ushauri, maumbile ya uke yanamtesa, je kuna aina tofauti za uke

Msaada na ushauri, maumbile ya uke yanamtesa, je kuna aina tofauti za uke

Ni kubahatishaa sanaa hizo hisiaa zenu lo,na wanaume unawaangaliaajee!!??

nilisikia uwa mnawapima vidole vya mikono au vya miguu, kama vyembamba unajua directly, kama vifupi au virefu unaweza kubashiiri size, kama vimepinda nk nk....sijui kama ni kweli...
 
Wakuu nimekumbana na hii post sehemu flani nikaona niiweke hapa pia. Binafsi sijui kama uke unatofautiana na kuwanyima mabinti amani kiasi hiki!

Huyu dada hapa anatiririka, "Hi dada dinah hujambo, best. Mie ninaomba ujitahidi siku moja ueke somo linaloeleza aina za uke. Huu uke kimaumbile hata kwamuonekano wake zinatofautiana, mwingine kwa kuuangalia juu juu tu unapendeza, mwingine unatisha mno.

Wengine huuonea aibu, kuuanika hata kwa wapenzi wao.hasa akitaka kizamia hasa kama mwanga upo maana yake upo kama ua, mwingine yale malabia ni marefu hadi ananinginia kama masikio ya tembo. wengine vinena kama mkate.

Mimi ni mmoja ambae uke wangu kimaumbile nauona mbaya, labia ni ndefu, na zinakaribia kufunika eneo lote mwanzo nilijua ni ugonjwa, nilimuona
Dr akaniambia ni labia ndefu.

Variations lazima ziwepo miongoni mwa wanadamu, ikumbukwe kuwa kila mtu ni unique ( wa kipekee kabisa ) katika ulimwengu wote, hakuna kama wewe. Kama ndio hivyo basi maumbile ya uke kutofautiana miongoni mwa wanawake ni jambo la kawaida kabisa kama ilivyo kwa viungo na baadhi ya sehemu nyingine za mwili kutofautiana baina ya mtu na mtu.
Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wasichana ulimwenguni hivi karibuni,hasa katika nchi zilizoendelea,kama UK na USA kwa kufanya operesheni za uke( vaginal cosmetic surgery ) kwa lengo la kuwa na uke "uliokamailika wa kuvutia" ( yaani perfect vigina ) ambapo mashavu ya uke ( yaani Labia majora/minora ) hupunguzwa. Hii imepelekea baadhi ya watu, kama madaktari kutumia fursa Hii kujitarisha vibaya, huku wakiacha wateja wao kupoteza fedha nyingi na kubaki na makovu ya kujitakia( ingawa makovu ni madogo sana).

Kwa mantiki hiyo dada zangu napenda nichukue nafasi hii niwashauri wanawake wote kwa ujumla kwanza kabisa wazipende papuchi zao, pili wasizionee aibu kabisa, kwani ni zao, wao ndio wanamalaka nazo, hakuna mtu mwingine yoyote mwenye mamlaka ya kuwaambia eti kuwa yako Mbaya, ya Yule nzuri, au papuchi inapaswa kuwa hivi,Mara vile, Bulshit!, NASEMA HAKUNA!!, Remember it's YOUR ONE & ONLY PAPUCHI. NDIO UMEUMBWA HIVYO.

Mwisho, nawasihi Mjiamini Dada zangu,na ukiona mtu yoyote, hasa hasa mwaume yoyote anaiponda au kuibeza papuchi yako,usisite kuntafuta.
 
nilisikia uwa mnawapima vidole vya mikono au vya miguu, kama vyembamba unajua directly, kama vifupi au virefu unaweza kubashiiri size, kama vimepinda nk nk....sijui kama ni kweli...

Hi nadhan ina ukweli ndani yake
 
ukitaka kujua umbile lake tazama tu lips za midomo...

Mimi niliwahi kusikia eti ukitaka kujua ukubwa au udogo wake "tazama ukubwa wa upenyo wa kidole gumba na kinachofuata" mguuni!!
 
Mi anipite kabisaa hua sitak hata kumuona pweza
Ingawa sijathibitisha kisayansi ila nilidokezwa kuwa Pweza anasaidia msichana au mwanamke kuwa na HIPS na ngoz nyororo,kwa mwanaume inaeleweka tu kazi ya PWEZA hata OLESAIDIMU anaweza kuja na facts
 
Last edited by a moderator:
Hapa ningepata picha yake ningemwaga vitabu vyangu na uzoefu wote
 
Hapa kinozungumziwa ni kipi? Sura ya papuchi kwa nje au namna ilivo kwa ndani?

Kama kwa nje ndio maumbile yanatofautiana muonekano. Kuna papa ndogo, kuna papa kubwa, kuna wenye labina kubwa hadi zinaning'inia, kuna wenye labina ndogo km kincha cha ulimi. Wengine papa nyeusiiiii na makovu ya mapele teleee. Wengine papa nyeupe tena laini kama ya mtt.

Ama kwa ndani zipo papuchi za aina tatu.

Kuna yenye spring

Kuna yenye gololi

Na kuna ya kawaida tu haina spring wala gololi.

Utamu pia zinatofautiana.
 
Shemkwe wala usiandike mate ilihali wino ungali unao...hebu fanya praktiko kwa kujichunguza weye mwenyeweeee

Mmh I wish nione picha...ngoja nijitizame
Hahahahahaha...very funny
 
Back
Top Bottom