Ni kubahatishaa sanaa hizo hisiaa zenu lo,na wanaume unawaangaliaajee!!??
Hahahah...sikuwa na maana hilo lol
Wakuu nimekumbana na hii post sehemu flani nikaona niiweke hapa pia. Binafsi sijui kama uke unatofautiana na kuwanyima mabinti amani kiasi hiki!
Huyu dada hapa anatiririka, "Hi dada dinah hujambo, best. Mie ninaomba ujitahidi siku moja ueke somo linaloeleza aina za uke. Huu uke kimaumbile hata kwamuonekano wake zinatofautiana, mwingine kwa kuuangalia juu juu tu unapendeza, mwingine unatisha mno.
Wengine huuonea aibu, kuuanika hata kwa wapenzi wao.hasa akitaka kizamia hasa kama mwanga upo maana yake upo kama ua, mwingine yale malabia ni marefu hadi ananinginia kama masikio ya tembo. wengine vinena kama mkate.
Mimi ni mmoja ambae uke wangu kimaumbile nauona mbaya, labia ni ndefu, na zinakaribia kufunika eneo lote mwanzo nilijua ni ugonjwa, nilimuona
Dr akaniambia ni labia ndefu.
nilisikia uwa mnawapima vidole vya mikono au vya miguu, kama vyembamba unajua directly, kama vifupi au virefu unaweza kubashiiri size, kama vimepinda nk nk....sijui kama ni kweli...
Hi nadhan ina ukweli ndani yake
ukitaka kujua umbile lake tazama tu lips za midomo...
ukitaka kujua umbile lake tazama tu lips za midomo...
Ingawa sijathibitisha kisayansi ila nilidokezwa kuwa Pweza anasaidia msichana au mwanamke kuwa na HIPS na ngoz nyororo,kwa mwanaume inaeleweka tu kazi ya PWEZA hata OLESAIDIMU anaweza kuja na factsMi anipite kabisaa hua sitak hata kumuona pweza
Me nikiangalia pua najua mzigo ulionao
Ingawa sijathibitisha kisayansi ila nilidokezwa kuwa Pweza anasaidia msichana au mwanamke kuwa na HIPS na ngoz nyororo,kwa mwanaume inaeleweka tu kazi ya PWEZA hata OLESAIDIMU anaweza kuja na facts
Salama mdau,nayumba na Swaum,namwambia Dinazarde kuwa Pweza ni kinga yeye hapend anasema hatamani hata Kumuona
mi pua yangu ukiiangalia unaonaje
Hi nadhan ina ukweli ndani yake
Nioneshe pua yako tu
ukitaka kujua umbile lake tazama tu lips za midomo...
Hii ni kweli shemkwe? Heshima yako
Shemkwe wala usiandike mate ilihali wino ungali unao...hebu fanya praktiko kwa kujichunguza weye mwenyeweeee
Salama mdau, hop wikiend iz better