[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]asante sana mkuu.. Umenitia nguvuMkuu ukisikiliza binadamu hutoweza kuishi kwa amani. Wewe nenda tu fanya kama vile hakuna kilichotokea. Kwa maana kila binadamu ana makandokando yake. Na pia amini kwamba hakuna anayekusaidia wewe kuishi. Na hicho ulichokifanya ni uamuzi wa maisha yako so long as hujamdhuru mtu.
Kwani bado upo Chechnya mkuu?[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]asante sana mkuu.. Umenitia nguvu
Jr[emoji769]
Mzee baba, uliadimika kipindi hiki hadi nikajua wagonjwa wameongezeka hapo kwa Hospitali yako!Piga nyungu za kutosha ili upate ujasiri wa kurudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]Mzee baba, uliadimika kipindi hiki hadi nikajua wagonjwa wameongezeka hapo kwa Hospitali yako!
Kilicho kukimbiza hakijaisha na sasa ndio kimepamba moto. Sangoma alikudanganya, usikute anatumika na mabeberu (siku hizi sangoma nao ni digitali).Nishauri wayforwad mkuu.. Kelele zimezidi kijijini
Jr[emoji769]
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji848][emoji848][emoji848]natafakari.. Lakini nani kakwambia yote haya? Usilete tafsiri zako hapa... Intelijensia yangu ni kali sana... Usipende kunihoji hoji.. NITAKUPOTEZA... (alisikika mzee mmoja akimfokea mtu asiyemuona) HOFU...!Kilicho kukimbiza hakijaisha na sasa ndio kimepamba moto. Sangoma alikudanganya, usikute anatumika na mabeberu (siku hizi sangoma nao ni digitali).
Ushauri bora kabisa, Fanya maamuzi kama ya Chief Mkwawa ili uhesabiwe kama SHUJAA na wanakijiji watahifadhi ile box ya medulla oblangata ndani ya sanduku LA kioo pale makumbusho kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Kigogo anasema umekimbilia kisiwani.Wandugu, jamaa na rafiki zangu wanyonge.. Nimekuja kwenu rasmi kwa ushauri na msaada.. Nimekwama na niko njiapanda. Msaada wako kimawazo na ushauri ni muhimu sana kipindi hiki kigumu nilichonacho
Mimi ni Mwenyekiti na Mkuu wa Kijiji chetu. Naomba nisikitaje jina kwa sasa. Kwa sababu maalum mbalimbali
Iko hivi mwezi uliopita hapo kijijini kwetu kulitokea tatizo kidogo.. In fact hilo tatizo limetokea huko vijiji vya mbali mpaka kufika kwetu. Basi mimi nikajiongeza. Jioni moja nikamuita kwa siri sangoma wetu mkuu hapo kijijini kwetu.. Tukakaa nje penye giza pembeni ya kilabu chetu cha ugimbi. Nikamnunulia KIPIMO kimoja na mimi nikaagiza KIPIMO
Tukanywa tukafurahi. Mimi nina kautaalam kidogo na vipimo hivyo sangoma alifurahi sana mpaka nikamuongeza na kingine (pengine hapa ndio niliharibu) kwakuwa katika jambo nililomuitia akanishauri kwa kipindi hiki nikimbie maramoja kijijini kuwasalimia wazee na nikirudi lile tatizo litakuwa limekwisha kwakuwa linapita tu tena ni la muda mfupi
Nimeapa kutoamini tena ushauri wa kilabuni.. Maana sasa napata tabu sana... Ubao wa matangazo kijijini kwetu hauishi kuandika vijembe juu yangu.. Naambiwa eti nimekimbia kaya na kwenda kujificha kwetu.. Eti kwamba mkubwa wote mimi bado muoga halafu napenda kudeka sana
Natamani sana kurudi kwangu.. Tena sana lakini sijui naanzia wapi... Hapa nilipo ni usiku mwingi lakini sina usingizi wala amani ni mawazo tele kichwani... Nitarudije kwangu? Naona wana kijiji wanachonga sana juu yangu
Uso umeumbwa na soni kama sio haya.. Lakini hilo sio tatizo.. Tatizo langu kubwa ni hofu je kule kwangu wakati nikiwa sipo hawajanitegea mbigili kweli? Unajua wabaya wapo popote?
Nishauri kwa hekima
Nishauri kwa weledi
Au nishauri vyovyote
Nahitaji msaada wako kimawazo nimechoka kukaa kijijini nataka nirudi kwangu
Kuna bundi analia hapo nje sijui anataka nini tena huyu.. Sijui katumwa?
Jr[emoji769]
Unataka apigwe dole na wahuni njiani ?Rudi kinyumenyume mpk kwako utakuwa umesolve tatizo
Kwani yule mdudu anaogopwa dawa za mganga ?[emoji30][emoji144][emoji144]ndio maana nakwepa sana ushauri na kusimamia maamuzi binafsi
Jr[emoji769]