Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Wadau wa Sheria katika jukwaa hili, Mimi ni Kijana niliye hitimu elimu ya kidato cha sita mwaka huu na kupata ufaulu wa daraja la pili kwa point 11. Nimechelewa kufanya maombi TCU na HESLB kwakuwa nilikuwa kujenga Taifa jkt,hivyo nimefanya application kwa haraka sana huku niki consider kozi niliyoipenda tangu nikiwa O'level ambayo ni LL.B na nimeijaza kwa vyuo vitatu ambavyo ni UD,MU na DM. Tatizo langu ni kwamba eti inatakiwa nichague vyuo vitano (nimechagua vyuo vitatu), lakini naomba ushauri kwa kozi nyingine nje ya sheria ambayo kwa mchepuo niliousoma naweza mudu (nimesoma HGL). NB: Sheria ipo damuni kiasi kwamba mpaka sasa nimenunua vitabu kama 4 kwa maandalizi.