Msaada NACTE kufungua dirisha la usajiri

Msaada NACTE kufungua dirisha la usajiri

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Jamani naomba mwenye kujua dirisha na kuomba vyuo NACTE kwa intake ya October linafunguliwa lini anijuze. Au mambo ya kufungua dirisha yaliisha?
 
Dah watafungua form six wakianza mitihani tuhh dilisha wanafungua bro usijali evething is going to be OK unataka ukasome coz gani tukushauli ety
 
Jamani naomba mwenye kujua dirisha na kuomba vyuo NACTE kwa intake ya October linafunguliwa lini anijuze. Au mambo ya kufungua dirisha yaliisha?
Umeipata taarifa ya NACTE iliyotolewa Leo kufungua dirisha la udahili?
Kama bado udahili unaanza leo June 15 hadi Septemba 15 Mwaka 2020.
Kazi kwako pamoja na wale wote ambao walikua wakisubiria taarifa hii.
 
Maneno yako ni ya kweli au laaah sasa iv dirisha liko open tuingie online tufanye application
 
Maneno yako ni ya kweli au laaah sasa iv dirisha liko open tuingie online tufanye application
Ni kweli
Cheki account za ITV walikua wanamuhoji mkurugenzi wa NACTE akitangaza kufunguliwa kwa udahili.
Wiki kadhaa nyuma nilikutaarifu ila naona bado hauamini.
 
Mbona chuo cha Utumishi wa umma magogoni wanaapply direct chuoni?
Ndugu vyuo vya serikali unavyoapply kupitia nacte ni vya afya na elimu TU. Vingine vyote hata kama ni vya serikali unaapply kwenye websites za vyuo husika.
 
Fungua link hii

Hamna kitu mkuu hawajaweka new update
Screenshot_20200615-150511.jpg
 
Back
Top Bottom