Nilishawah kutokewa na hio hali nikaenda hospital na sikupewa dawa yoyote ila ushaur tu nikawa sawa na ninaendela kupiga nyapi kama kawaida
1.jijenge kisaikolojia usiliweke hilo tatizo kichwani endeleza maisha yako kama hujawah kutokewa na hilo tatizo
2.jiamin kila uwapo kitandani, jiamin kua hicho kitu hakitatokea ten
3.usikamie game, pia inatokana na kukamia game
4.jitahid kua na amani moyoni mwako na ikiwezekana mshirikishe mwenza wako katika tatizo lako, hii itapunguza was was wako.
5. Tumia xvyakula vinavoasemekana kuongeza nguvu za kiume kaa seafoods, matunda, kifup mantain diet
6. Waone wataalamu wa afya hospitalini, usikurupuke kutumia madwwa ya kuongeza nguvu za kiume yanaweza yakakumaliza kabisaaaaa /wataalam wa afya watajua wanakusaidia vipi kama tatizk bado lipo , ikishindikana unaweza kuconsider tiba mbadala
NB: mimi sio daktari ila hiyo ni experience yangu kutokana na kesi kama yako, pia ni ushaur niliopata kutoka kwa madaktari...
Pole sana naamin kila kitu kitakua sawa na kwa rehema za Mungu utakaa sawa...