Msaada: Naenda kutoa mahari kwa mtoto wa Kimbulu, naomba sifa zao

Msaada: Naenda kutoa mahari kwa mtoto wa Kimbulu, naomba sifa zao

Duh Pole unaolea kijiji. aka cha wote , hao chupi mkononi hata kukiwa na kivuli cha mti anagongwa tu wala hasubiri gesti.
 
Nipo Manyara hapa, nataka kutoa mahari kwa binti wa Kimbulu nisaidieni sifa zao kabla sijafanya maamuzi.

Niokoeni kijana wenu [emoji4][emoji4]
Bei ya mafuta ipo juu lakini vijana bado hamuachi ujinga.
 
Mkuu, we oa. Huenda huyo wako akawa tofauti na the general rule.
 
Back
Top Bottom