J Janja weed JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 3,000 Reaction score 5,606 May 5, 2022 #21 Duh Pole unaolea kijiji. aka cha wote , hao chupi mkononi hata kukiwa na kivuli cha mti anagongwa tu wala hasubiri gesti.
Duh Pole unaolea kijiji. aka cha wote , hao chupi mkononi hata kukiwa na kivuli cha mti anagongwa tu wala hasubiri gesti.
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 May 5, 2022 #22 ozn said: Nipo Manyara hapa, nataka kutoa mahari kwa binti wa Kimbulu nisaidieni sifa zao kabla sijafanya maamuzi. Niokoeni kijana wenu [emoji4][emoji4] Click to expand... Bei ya mafuta ipo juu lakini vijana bado hamuachi ujinga.
ozn said: Nipo Manyara hapa, nataka kutoa mahari kwa binti wa Kimbulu nisaidieni sifa zao kabla sijafanya maamuzi. Niokoeni kijana wenu [emoji4][emoji4] Click to expand... Bei ya mafuta ipo juu lakini vijana bado hamuachi ujinga.
Samwel Jr JF-Expert Member Joined May 9, 2020 Posts 1,311 Reaction score 935 May 6, 2022 #23 Mkuu wasikubabaishe dada zetu hawana tabia mbovu
Vangigula JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 852 Reaction score 2,739 May 6, 2022 #24 Mkuu, we oa. Huenda huyo wako akawa tofauti na the general rule.