Msaada: Nafanje kutoona threads nilizokwisha zisoma hapa jf zisiwe zinajirudia kwenye feeds

Msaada: Nafanje kutoona threads nilizokwisha zisoma hapa jf zisiwe zinajirudia kwenye feeds

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,360
Reaction score
6,922
Salaam,

Bila porojo, inatokea nyakati feed imejaa threads zote umeshazisoma au uliziruka kwa kutovutiwa nazo, mtu unascrow hata nusu saa hakuna nyuzi mpya ni zile zile,

siamini kwamba eti nyuzi zote nimeshazisoma mpaka zijirudie hizo tu kuna muda mpaka naamua kuignore baadhi ya thread kwa maana kila muda zinajirudia kwenye feed. Je kuna namna mtu anaweza kuset thread alizosoma zisijirudie kwenye feeds ?

Japo sio kero lakini changamoto hii naamini wengi wanaipitia na akitokea mtu atatoa maelekezo yatawanufaisha wengi.
 
Feed ya JF kwa kawaida inapanga nyuzi kulingana na mwendelezo wa shughuli, yaani thread inayopata maoni mapya inarudi juu tena hata kama wewe tayari umeshazisoma hizo nyuzi.
 
Back
Top Bottom